JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa.
Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu karibu mezani.
====
Mchnago wa Mdau
Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu karibu mezani.
====
Mchnago wa Mdau
Mke wangu wa kwanza nilimuoa akiwa bikra. Nilikutana naye chuo fulani cha ualimu mkoani Kilimanjaro.
Wakati tunaanza alikua yupo sifuri kabisa kwenye mambo ya faragha, nilimvumilia na nilikua nampongeza kua anajitahidi sana kumbe sio kweli.
Kuna siku ali wrong namba akanitumia mimi sms yenye mlengo wa mahusiano ya kimapenzi "usinitumie tena sms mume wangu anakaribia kutoka kazini" daah nilistuka sana mazee mwili ukafa ganzi. Nilirudi nyumbani kichwa chini mikono nyuma kwa utulivu nikamwambia naomba simu yako kuna namba nii copy. Nikaenda upande wa sent items sikukuta sms hata moja nikajua keshafuta.
Usiku nilimbana sana akasema ukweli kua ni mwl mwenzake nika msamehe likapita maisha yakasonga.
Tuliishi lakini imani ya uaminifu kwa wife ilinipungua sana ingawaje alikua ni mpole sana jamani.
Baada ya miezi kadhaa nikashtukia tena usaliti wake mwengine tena huyo alimwambia hajaolewa. Nililifikisha kwa wazazi nalo likapita.
Tena nilimkamata tena na jamaa mwengine, nikasema mama kwahili itabidi uende tu.
Niliachana na wife kwa kosa la uzinzi tu lakini kwenye majukumu ya ki mwanamke aliyatimiza vizuri tu ila shida ilikua ni umalaya. Nilijua tu kua huyu ujana hajaumaliza ndio maana anakua hivi.