Mliooa bikra tunaomba ushahidi kuwa mke wako kweli ametulia siku zote hajawahi kuliwa? Je, una amani?

Mliooa bikra tunaomba ushahidi kuwa mke wako kweli ametulia siku zote hajawahi kuliwa? Je, una amani?

Mke wangu wa kwanza nilimuoa akiwa bikra. Nilikutana naye chuo fulani cha ualimu mkoani kilimanjaro.
Wakati tunaanza alikua yupo sifuri kabisa kwenye mambo ya faragha, nilimvumilia na nilikua nampongeza kua anajitahidi sana kumbe sio kweli.

Mbobo
 
Hujui mechi za ugenini zinarudisha upya wa tendo Sasa omba asikutane nazo.

Napita
 
Mke wangu wa kwanza nilimuoa akiwa bikra. Nilikutana naye chuo fulani cha ualimu mkoani kilimanjaro.
Wakati tunaanza alikua yupo sifuri kabisa kwenye mambo ya faragha, nilimvumilia na nilikua nampongeza kua anajitahidi sana kumbe sio kweli.

ivi.
Doh jokajeusi unasemaje apa
 
Mke wangu wa kwanza nilimuoa akiwa bikra. Nilikutana naye chuo fulani cha ualimu mkoani kilimanjaro.
Wakati tunaanza alikua yupo sifuri kabisa kwenye mambo ya faragha, nilimvumilia na nilikua nampongeza kua anajitahidi sana kumbe sio kweli.
Kisa kama hiki kinapendeza utaje na kabila la muhusika ili wenye kubet tufanye kubet kabisa.
Wahaya
warangi
Wanyaturu
Wambulu(wairaq)
Mtulie kidogo wengine tunafanya tafiti
 
Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maanake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa
Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu
karibu mezani
Yaan wanatulia sana kwanza waoga ku cheat kama huyu wangu yaan akianza tu hata kuchat na mtu nisiemjua usiku nikimkaza ananambia, 'chukua simu yangu kuna mwanaume ananisumbua mwambie anikome'
 
Yaan wanatulia sana kwanza waoga ku cheat kama huyu wangu yaan akianza tu hata kuchat na mtu nisiemjua usiku nikimkaza ananambia, 'chukua simu yangu kuna mwanaume ananisumbua mwambie anikome'
Katika hadithi ambayo nitaipuuza ni hii ya "Mume wangu, fulani ananitongoza" We tongozwa tu kama wewe ni mwaminifu utajua namna ya kukwepa hayo mazingira na hiyo mishale.....

Ukija tu, swali la kwanza nitakalouliza ni " Wewe huwa unatongozwa, kwann huyu imekuwa tofauti mpaka unanieleza?
 
Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa.

Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu karibu mezani.

====

Mchnago wa Mdau
Mkuu mwanamke kama ni waluwalu ni waluwalu hata kama ulimuoa hakiwa bikra.
Sema mnachoshindwa kuelewa wanaume ni hiki wanawake wana akili moja kubwa sana kweny swala la usaliti
 
Back
Top Bottom