Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Kuna binti naishi nae haongei nami wala MTU mzima yeyote...Ila ukimkuta na rika lake utasema umemfananisha anavyobwatukaKama haongei darasan alikua anafundishaj wanafunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna binti naishi nae haongei nami wala MTU mzima yeyote...Ila ukimkuta na rika lake utasema umemfananisha anavyobwatukaKama haongei darasan alikua anafundishaj wanafunzi
Mke wangu wa kwanza nilimuoa akiwa bikra. Nilikutana naye chuo fulani cha ualimu mkoani kilimanjaro.
Wakati tunaanza alikua yupo sifuri kabisa kwenye mambo ya faragha, nilimvumilia na nilikua nampongeza kua anajitahidi sana kumbe sio kweli.
Doh jokajeusi unasemaje apaMke wangu wa kwanza nilimuoa akiwa bikra. Nilikutana naye chuo fulani cha ualimu mkoani kilimanjaro.
Wakati tunaanza alikua yupo sifuri kabisa kwenye mambo ya faragha, nilimvumilia na nilikua nampongeza kua anajitahidi sana kumbe sio kweli.
ivi.
Zambi kubwa sana kuliko ya mzinzi kufanya uzinzi mara zote?Mkuu wewe ni mkristo.?
Kama ndiyo basi una dhambia kubwa sana..
Unamsamehe Mzinzi mara mbili zoote..??
Tumeagizwa kusamehe saba mara sabini mkuuu.Mkuu wewe ni mkristo.?
Kama ndiyo basi una dhambia kubwa sana..
Unamsamehe Mzinzi mara mbili zoote..??
Kisa kama hiki kinapendeza utaje na kabila la muhusika ili wenye kubet tufanye kubet kabisa.Mke wangu wa kwanza nilimuoa akiwa bikra. Nilikutana naye chuo fulani cha ualimu mkoani kilimanjaro.
Wakati tunaanza alikua yupo sifuri kabisa kwenye mambo ya faragha, nilimvumilia na nilikua nampongeza kua anajitahidi sana kumbe sio kweli.
Yaan wanatulia sana kwanza waoga ku cheat kama huyu wangu yaan akianza tu hata kuchat na mtu nisiemjua usiku nikimkaza ananambia, 'chukua simu yangu kuna mwanaume ananisumbua mwambie anikome'Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maanake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa
Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu
karibu mezani
Ipo siku haupo ataliwa tuYaan wanatulia sana kwanza waoga ku cheat kama huyu wangu yaan akianza tu hata kuchat na mtu nisiemjua usiku nikimkaza ananambia, 'chukua simu yangu kuna mwanaume ananisumbua mwambie anikome'
Katika hadithi ambayo nitaipuuza ni hii ya "Mume wangu, fulani ananitongoza" We tongozwa tu kama wewe ni mwaminifu utajua namna ya kukwepa hayo mazingira na hiyo mishale.....Yaan wanatulia sana kwanza waoga ku cheat kama huyu wangu yaan akianza tu hata kuchat na mtu nisiemjua usiku nikimkaza ananambia, 'chukua simu yangu kuna mwanaume ananisumbua mwambie anikome'
Mkuu mwanamke kama ni waluwalu ni waluwalu hata kama ulimuoa hakiwa bikra.Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa.
Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo nitapokamilisha taratibu nitaomba michango yenu karibu mezani.
====
Mchnago wa Mdau