Mliooa hamna tofauti na vizimba vya sokoni. Watu wazurulia humo

Mliooa hamna tofauti na vizimba vya sokoni. Watu wazurulia humo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao.

Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi home mmechoka viuno, mabomu hamuwezi kurusha, ukirusha hata mlima Bunagana bomu halifiki sasa M23 wataacha kumla mkeo na kuzaa nao hao wake zenu.

Kadri unavyo expire ndio mkeo anakuwa mukde mukide.

Shanta Shanta uzeeni mtalia sana.

Mkeo ndio rafiki yako zingatia mapema. Faraja ya nje Ibilisi hanaga huruma hio

Gdmon to all!
 
Ndoa inaleta heshima kwenye jamii
Ndoa inakuleta kwenye usawa
Ndoa inakupa ujasiri na kujiamini
Ndoa ni chanzo cha wahusika kuitwa baba na mama.

Ndoa ni nini?

Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili mwanaume na mwanamke wasio na kizuio.

Hebu vijana muijue ndoa kwanza kabla hamjaparamia mambo, halafu yakiwashinda mnakimbilia kujifariji na nyuzi kama hizi,
Ndoa siyo sheria kwamba uliyemuoa/aliyekuoa afuate amri zako kana kwamba yupo jela hapana, ndoa inataka hekima na busara ili wawili mfe wote.

Unapoamua kuingia kwenye ndoa hakikisha umebeba kikapu Cha busara ambacho ndani humo umebeba Imani, Upendo, uvumilivu na hata ujinga kiasi,
Kwanini ujinga uwepo kwenye kikapu hiki?

Ni kwasababu mtu yeyote ukisikia ana busara, huwa hakosi ujinga ndani ya ubongo wake

Mfano mtu mwenye busara anamfumania mke wake halafu anatengeneza ushahidi Kisha kukimbilia mahakamani, Bakwata au taasisi zinazohusiana na habari hizo,ni ujinga ulioje mtu kutembea na mkeo halafu umuache, wakati mla vya watu naye inapaswa aliwe huku akivalishwa shanga na Dera au ni kukata kichwa Chake kabisa.
Uuuuiiiiuwiiii hatimaye unaishia jela wakati mke ni wako.

Nina mengi ya kuandika ila pole kwa changamoto zilizokukuta , nikukumbushe tu kuwa ndoa ni tamu hasa ukimpata mnayependana.
 
Back
Top Bottom