Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

Subiri waje wanaopataga hizo 300,000/= kwa.Ila pia wamejenga na wanatumia magari yao binafsi kuja ofisin na kila siku mafuta ya 15,000.pia mchana lunch yao si chini ya 10,000.Pia kila jioni wanasimamisha magari yao daily pale kipawa kununua samaki wabichi wa angalau 5,000-10,000 kwa ajili ya nyumbani usiku na matunda pale Goms ya 2,000 na zaidi.Pia pleadge zao za michango ya kila send off na harusi pia watoto wao pia wanasoma pale pale Tusiime,Heritage,Atlas ,canosa etc
Hiyo sio laki tatu piga hesabu uone
 
Shida iliyopo kila MTU anahisi maisha in Dar hats mkoani huku na as tunaishi pia! Twende sasa

Mimi salary yangu net ni 210,000/=
Si lipi maji wala kodi ya nyumba
Si nunui mahindi wala marage
So tumii usafir wowote kwenda kazin
Sina chanjo kingine cha kupata pesa mbali na salary

Watoto 2 na mke si lipi ada ya shule ni free nalipa 100000 kwa ajili ya school bus per year
Umeme nanuaga was 5000 mwezi mzima

Chakula 80000
Mafuta ya kupikia 5l 20000
Michele kg10 20000
Pampas 10000
Msos kazin 15000 per month

Uliza swali lolote nkujibu
 
Dawa ni kuwa na chuma ulete tu, ninapata mshahara zaidi ya huo ila haujawahi kunitosha.... huwa najipa moyo eti kwa vile ndo naanza maisha hivyo ninanunua vitu vya ndani (fenicha).

Kuna haja ya kufundishwa bajeti, binafsi naiskiaga tu hii kitu kupanga bajeti ila sijawahi kufanya hivyo.... huwa naweka mipango lukuki kabla ya pesa ila ikiingia tu nasahau walahi.
 
300k hyo ndo take home ya watumishi wengi wa serikali idara nyingi, na watu wanaishi vizuri sana!Ni budget na nidham ya pesa
 
Back
Top Bottom