F Father of All JF-Expert Member Joined May 30, 2026 Posts 458 Reaction score 843 Oct 8, 2026 #1 Wanawake wa kichaga ni matatizo matupu. Kwao kila mtu ni buzi wa kuchunwa na kuwapelekea ndugu zao wavivu wa kutafuta. Matokeo yake watu wanaishia gerezani kwa mauaji. Dawa ni kutowaoa kabisa. Nawasilisha.
Wanawake wa kichaga ni matatizo matupu. Kwao kila mtu ni buzi wa kuchunwa na kuwapelekea ndugu zao wavivu wa kutafuta. Matokeo yake watu wanaishia gerezani kwa mauaji. Dawa ni kutowaoa kabisa. Nawasilisha.
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,894 Reaction score 22,679 Oct 8, 2026 #2 Kuna muda kataa ndoa wanakuwa na hoja
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Oct 8, 2026 #3 Kwahiyo idadi ya wasio wachaga na wao kwa wao ipi inaongoza kuoana ?? Kilichokutuma kuwaoa ni nn ulikosa mwanamke wa kabila lako?? Mtanyooshwa mpaka muone moto wa Musa nyikani
Kwahiyo idadi ya wasio wachaga na wao kwa wao ipi inaongoza kuoana ?? Kilichokutuma kuwaoa ni nn ulikosa mwanamke wa kabila lako?? Mtanyooshwa mpaka muone moto wa Musa nyikani
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 4,043 Reaction score 7,296 Oct 8, 2026 #4 Lamuhimu UKIWAOA utatangulizwa wewe, Mali zikijaa
lost files JF-Expert Member Joined Apr 17, 2025 Posts 1,146 Reaction score 3,425 Oct 8, 2026 #5 Sio mchaga tu kama huna akili you don't deserve to have either the gun or a wife kutoka kabila lolote..
Sio mchaga tu kama huna akili you don't deserve to have either the gun or a wife kutoka kabila lolote..
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Oct 8, 2026 #6 Silaha sio bunduki tu, kucha tu ni bonge la silaha