Mliooana kupitia forum hii leteni mrejesho

Siko k
makaveli10 kuja hapa uwape inspiration vijana
Wanataka nini?
Wasome nyuzi zangu na comments zangu, kuna ushuhuda tosha.

Kifupi ndoa ina mwaka wa nne, mtoto mmoja na mimba juu😂, hapa tunasubiri tarehe husika, mungu akijaalia familia iongezeke

Amani na upendo upo wa kutosha, kukoseana kupo(makosa madogo madogo mnooo) mpaka leo hakuna kosa kubwa na sijajutia kuoa.

Wanataka kipi kingine?

Ushahuda wetu sio wa muhimu kama mtu hajapata mtu sahihi, ataokota maruperupe huko kisha lawama juu yetu.

"MTU ASIOE KISA FULANI KAOA NA ANAISHI MAISHA YA AMANI"
Na wala mtu asioe kisa tu kuna mtu anapata shida kwenye ndoa,
Tusiigane maisha, watu wametofautiana, fikra, matendo, mitazamo, tabia n.k.
 
Kwa hiyo nyie hamjitambui mpaka mtambuliwe na mtu aliyevaa kobaz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…