Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 284
Kuna jamaaa ambaye ailkuwa na mke yuko bizena kzi na kila kitu ni house gal... Ikafika muda ukafika mume akata kusafiri kwenda kijini kwao na watoto kusalimu wazee ..akaweka kikao na mkewe na huse gal.. akamtaka mkewe achague moja...
-Anaenda kijini na mkewe, watoto wanabaki na house gal nyumbani" AU
- Anaenda kijijini pamoja na watoto na house gal, mke abaki nyumbani.
Mke kageuka mbogo akohoji kwani mume afanye maamuzi hayo.... mume kasema kwajinsi familia yao ilivyo, anaona House gal ndo mke..!!Mke akaitisha kika cha wanadugu kushati, maamuzi ya kikao yakampa ushindi mwanaume..!!
INGEKUWA NI WEWE, MAMA MWENYE NYUMBA, UNAAMBIWA KAULI HIZO HAPO JUU... UNGEFANYAJE?