Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

Walishatoa majina,usaili unaanza tarehe 1 hadi 3 mwezi wa 6,cheki kwenye daily news ya 21/05 au fika tabora ofisi za Tanroads wamebandika majina.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duh wanatoa majina kwenye magazeti wakat kuna sehemu unaweza kaa mwaka mzima hujaona gazeti
 
Kama kuna mtu mwenye Hilo gazeti atupandishie majina
 
Back
Top Bottom