ni nafasi gani,ni ya temp ama permanentnlpta tanroad tabora Apo kama wik mbil zmepta nkaomba kuonana naa hr wakasema bado wanazchambua watakao kua wqualfied ndio watakao itwa nkaweka mikono nyuma nkasema asante mkuu nkatoka
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
parmanent u drevani nafasi gani,ni ya temp ama permanent
Naomba mnijuze wakuu kwa wale ambao mliomba kazi za Tanroads Tabora, vipi walishaita kwenye interview au watatangaza lini na wanatangaza kupitia website gani? Tafadhali msaada wenu wakuu.
Duh wanatoa majina kwenye magazeti wakat kuna sehemu unaweza kaa mwaka mzima hujaona gazetiWalishatoa majina,usaili unaanza tarehe 1 hadi 3 mwezi wa 6,cheki kwenye daily news ya 21/05 au fika tabora ofisi za Tanroads wamebandika majina.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haya gazeti hilo hapo View attachment Tapatalk-Download1609517381SHORTLISTED, CLEAR.pdfKama kuna mtu mwenye Hilo gazeti atupandishie majina
mkuu ubarikiwe sana.Haya gazeti hilo hapo View attachment 2237840
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usaili unaanza tarehe 30 kwa nafasi za maoperatorWalishatoa majina,usaili unaanza tarehe 1 hadi 3 mwezi wa 6,cheki kwenye daily news ya 21/05 au fika tabora ofisi za Tanroads wamebandika majina.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app