Mlioomba Lugalo Millitary Medical School majibu yanatoka lini?

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
Kama unataarifa zozote ni lini Lugalo Millitary Medical School watatoa majina ya walio chaguliwa kujiunga na masomo please niambie me nasubiri spati taarifa yoyote.
 
polesana,vyuo vyote vya afya lazima upitie NACTE, LUGALO wameshatoa majina muda toka mwezi wa saba kwa raia...kama wewe ni mwanajeshi na umeapply necta na umefanya mtihani wa lugalo kunatetesi kuwa majina bado. LAKINI KAMA WEWE NI RAIA NA JINA HUJALIONA SAHAU LUGALO
 

naomba unionganishe na hiyo link yenye hayo majina au wewe umeyaona wapi ili nikajitafute maana hivi navyokwambia sijijui hata kama nimo au sipo kwenye list yao, meelewa?
 
istoshe sisi tulifanya interview na kunataratibu tulielekezwa tuzifanye ili tutambulike na nacte na tukazifanya ilikuwa ni kuomba tena na nacte ili kuwa na acount kule hapo tayar inakuwa ushatambulika ko taratibu zote zko Fresh ila wao tu hadi leo hawajatu update
 
kiongozi...nimeshindwa kuweka link lakini ingia nacte andika email yako na uweke neno la siri la akaunti yako nacte,andika lugaro utapewa majina yote...
 
kiongozi...nimeshindwa kuweka link lakini ingia nacte andika email yako na uweke neno la siri la akaunti yako nacte,andika lugaro utapewa majina yote...

Wakuu VIP kuhusu udhamini taratibu. zake sijaziona. msaada jamani wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…