Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
Kama unataarifa zozote ni lini Lugalo Millitary Medical School watatoa majina ya walio chaguliwa kujiunga na masomo please niambie me nasubiri spati taarifa yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye website yao je??
polesana,vyuo vyote vya afya lazima upitie NACTE, LUGALO wameshatoa majina muda toka mwezi wa saba kwa raia...kama wewe ni mwanajeshi na umeapply necta na umefanya mtihani wa lugalo kunatetesi kuwa majina bado. LAKINI KAMA WEWE NI RAIA NA JINA HUJALIONA SAHAU LUGALO
kiongozi...nimeshindwa kuweka link lakini ingia nacte andika email yako na uweke neno la siri la akaunti yako nacte,andika lugaro utapewa majina yote...istoshe sisi tulifanya interview na kunataratibu tulielekezwa tuzifanye ili tutambulike na nacte na tukazifanya ilikuwa ni kuomba tena na nacte ili kuwa na acount kule hapo tayar inakuwa ushatambulikko taratibu zote zko Fresh ila wao tu hadi leo hawajatu update
kiongozi...nimeshindwa kuweka link lakini ingia nacte andika email yako na uweke neno la siri la akaunti yako nacte,andika lugaro utapewa majina yote...