Je, wewe ni miongoni mwa wanafunzi waliomba uhamisho kutoka chuo ulichopangiwa kwenda kingine na wakati huo tayari una allocation ya mkopo katika hicho chuo ulichopangiwa awali?
If yes, itabidi ujipange kama mkopo ndio ulitegemea awe mkomboz wako katika kila kitu.
Know why? Hiyo kitu huwa inachukua muda mrefu kinoma hata mwaka mzima, usifikiri nawatishia bali huo ndo ukweli maana nina data wakuu!