Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Hakika. I am seroius on this. Nimehuzunika sana!Mkuu kweli matokeo ya mwaka huu yamekuumiza kiasi cha kutafuta njia ya kuwasaidia vijana wetu, tuwape moyo na njia ya kuondokana na hili tatizo kwa hawa waliopatwa na hili janga la kufeli!
Bila hivyo tutaongeza namba ya wasio na future mbeleni!