Mliopata 'zero' jiandikisheni

Mliopata 'zero' jiandikisheni

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Nataka kupata majina yenu na nijenge hoja. Nijenge hoja,kama raia wa kawaida wa nchi hii,kuwa mnapaswa kurudia mitihani ya kidato cha nne. Kama si kutungiwa mitihani mipya basi mrudie mitihani na watahiniwa wa mwaka huu kwa gharama nafuu. Baadhi yenu mtatoka hapo mlipo.

Hili la mwaka huu ni suala la kitaifa...naamini nitasikilizwa.Natarajia kupata majina laki mbili na ushee kama mko tayari. Tumeni taarifa zenu ya kishule humu: pemselewa@hotmail.com
 
Mkuu kweli matokeo ya mwaka huu yamekuumiza kiasi cha kutafuta njia ya kuwasaidia vijana wetu, tuwape moyo na njia ya kuondokana na hili tatizo kwa hawa waliopatwa na hili janga la kufeli!

Bila hivyo tutaongeza namba ya wasio na future mbeleni!
 
Hakika. I am seroius on this. Nimehuzunika sana!
 
Wamefelishwa makusudi ili kukidhi malalamiko ya mwaka jana.
 
Ushauri wangu tuwe "PROACTIVE" tujipange wasifeli kabla ya mitihani na sio "REACTIVE" kuwashughulikia waliokwisha feli mkuu
 
Back
Top Bottom