Mliopiga Misumari Fraga na sasa Lwanga, mnatukosea wana Simba

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Lwanga x Fraga

Fraga aliondoka Simba sababu ya majeraha. Haitoshi sasa Lwanga majeraha yanamuandama.

Mapenzi aliyokuwa nayo Fraga kwa Simba hayapimiki. Akapata majeraha kipindi ambacho alishaingia vizuri sana kwenye mfumo. Inauma sana.

Mambo ya kupigana misumarj sio ya kupuuza,yapo sana tu. Yanapaswa kukemewa na kila mtu bila kuogopa.
Wanaopiga misumari kwanza wanaharibu maisha ya wenzao,pili wanatia hasara club kulipa mshahara mtu ambaye hazalishi.

Ni vyema club iwe inafanya uchunguzi, Kama kuna mtu anapiga misumari hakuna haja ya kutumia nguvu,ni kumpiga chini wakati wa usajili tu.
 
Kama wazee wanathaminika Simba,
Basi wazee wakae waliangalie hilo fraga alikua vyema, lwanga pia ame offer kitu cha tofauti simba
Mkude na Konute hawatoshi pale kati
 
kina mzee Dalali na Prof.Kapuya wafanyie kazi hili suala
 
Lwanga x Fraga

Fraga aliondoka Simba sababu ya majeraha. Haitoshi sasa Lwanga majeraha yanamuandama.

Mapenzi aliyokuwa nayo Fraga kwa Simba hayapimiki. Akapata majeraha kipindi ambacho alishaingia vizuri sana kwenye mfumo. Inauma sana.

Mambo ya kupigana misumarj sio ya kupuuza,yapo sana tu. Yanapaswa kukemewa na kila mtu bila kuogopa.
Wanaopiga misumari kwanza wanaharibu maisha ya wenzao,pili wanatia hasara club kulipa mshahara mtu ambaye hazalishi.

Ni vyema club iwe inafanya uchunguzi, Kama kuna mtu anapiga misumari hakuna haja ya kutumia nguvu,ni kumpiga chini wakati wa usajili tu.
Chonde chonde Mwana Simba mwenzangu na wewe Una hizo Imani mkuu,?
 
najua nilichokiandika. kwa hiyo wewe huamini kama ushirikina upo?au huamini kama wachezaji Simba hawawezi kufanya ushirikina?
Kwenye soka mkuu wangu huwa siamini uchawi! Hadi Akina Pogba,Hazard, Neymar n.k huwa wanakuwa majeruhi ulaya na kukaa nje muda mrefu sasa wao pia huwa wanarogana, na wakipona wanarudi na kuanzia walipoachia. Anyway poa mkuu yote ni Imani!
 
Back
Top Bottom