Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Hello lawyers kwa ujumla na mliopita law school ya tz. mimi ni LLB hold najiaanda kuingia law school soon.
Naomba msaada hivi ni vitu gani natakiwa kuzingatia ili kutoboa law school maan nowdays naona kupass imekuwa ngumu sana. Disco nyngi Sanaa na supp. Apart from connection ambazo zinasemekana. Personally mtu anatakiwa kubehave vipi na vitu gani azingatie sanaa.
Natanguliza shukran sanaa wasomi.
Your comment matters.🙏