Mliopita Miono High Shool, msaada

Joined
Jan 29, 2013
Posts
47
Reaction score
0
Nimechaguliwa miono high school PCB tafadhal mnijuze kuhusu miono sec kwa ujumla mnao ijua academically-nk
 
Mbona nasikia hiyo shule ni mpya kama sikosei MKUU.
 
Ila ni bonge la shule hauwezi jutia
 
Kwa wale wadogo zangu mliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano lukole nawakaribisha sana.ni shule nzuri na yenye taaluma ya kuvutia...karibu sana wadogo zangu wala msiogope kabisaaaaa.,..for more details call me +255762546166
 
George, suala sio kusifia shuke hiyo ambayo nasikia ilikuwa makambi yawakimbizi. Kwanza toa details, ikiwezekana piga picha ya shule then tupia jamvini watu waione. Mimi ni mwangaza na nimezaliwa huko I know the place, usisifie sana, bali toa details za shule, ipo maeneo gani, last results, picha, n.k
 
Nasikia shule hiyo ni mpya ilifunguliwa na kufungwa last year kwa ukosefu wa waalim. Dogo pia kachaguliwa PCB hapo Miono.

Kama wameamua kufungua tena bila shaka waalim wamepatikana.
 
ni shule mpya inafadhiliwa na serikali ya sweden, inafanywa ya mfano. iko ndani ndani bagamoyo :A S 2152:
 
Nani anajua sehemu ilipo miono high school,unapanda magari gani,sh ngapi, jinsi ya kwenda tokea dar
 
Dah naamn inajtosheleza kias fln japo co sana maana ni sayans tu na inafadhliwa na wazng
 
jamani eeh c watu wa a town tunaona mapchapcha kuhusu miono tunackia story 2
 
kama unatokea DSM ukifika chalinze unanyosha barabara ya segera kama umesoma jiografia ya nchi vizuri nadhani mto wami hautakusumbua ulipo,,,mbele kidogo ya mto wami kuna barabara inaenda mbuga ya wanyama ya saadan unaelekea huko...ni shule yenye ufadhili mzuri halafu hata bungeni waziri alithibitisha mkazo umewekwa pale..kumbuka mkuu wa nchi anatoka jimbo lilipo hiyo shule so sidhani kama ataweza kuiacha hovyo..MSAADA WA KUFIKA nenda kituo cha mbezi ya kimara uliza gari za Miono utafika ..kila la kheri mdogo wangu
 
Wanajamvi hamjambo wote? Tulikuwa tunaulizia sana post za form five.
Sasa kwa kuwa post zimetoka, thread nazo zinabadilika.
Dadaangu (mtoto wa mama mdogo) kachaguliwa kwenda shule iliyotajwa kwa
jina 'Serengeti' combination ya HGL.

Naomba mnieleze. Je,hiyo shule kulingana na hilo jina ni shule
iliyoko mkoa wa Mara au ni shule iliyoko mkoa mwingine
lakini ikachagua jina la serengeti? Je, ni shule iliyoko kwenye
mazingira gani? Je, kufika huko unatumia usafiri gani iwapo
mtu unatokea Moshi?
Naomba mwenye taarifa za shule hii (geography, travel etc)
anijulishe please!
 
Wadaau msaada post nimepelekwa mist cpt sasa inahusika na nini please
 


Mkuu kwanza shukrani kwakuniongezea Rep power !

Pili !

Shule ipo Serengeti Mkoani Mara ! Kata ya Busawe !

Busawe ni jina la kata ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania.
 
Wana jf naomba alyewai soma shule tajwa hapo juu tujuzane mambo mbal mbal ya hapo pia kwa waliopangwa hapo tujuane.
 

hiyo lukole ipo mkoa gan na wilaya gan?
Nisaidien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…