Generally faraji
Member
- Jan 29, 2013
- 47
- 0
Nimechaguliwa miono high school PCB tafadhal mnijuze kuhusu miono sec kwa ujumla mnao ijua academically-nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
o'rght kiongonzIla ni bonge la shule hauwezi jutia
Wanajamvi hamjambo wote? Tulikuwa tunaulizia sana post za form five.
Sasa kwa kuwa post zimetoka, thread nazo zinabadilika.
Dadaangu (mtoto wa mama mdogo) kachaguliwa kwenda shule iliyotajwa kwa
jina 'Serengeti' combination ya HGL.
Naomba mnieleze. Je,hiyo shule kulingana na hilo jina ni shule
iliyoko mkoa wa Mara au ni shule iliyoko mkoa mwingine
lakini ikachagua jina la serengeti? Je, ni shule iliyoko kwenye
mazingira gani? Je, kufika huko unatumia usafiri gani iwapo
mtu unatokea Moshi?
Naomba mwenye taarifa za shule hii (geography, travel etc)
anijulishe please!
George, suala sio kusifia shuke hiyo ambayo nasikia ilikuwa makambi yawakimbizi. Kwanza toa details, ikiwezekana piga picha ya shule then tupia jamvini watu waione. Mimi ni mwangaza na nimezaliwa huko I know the place, usisifie sana, bali toa details za shule, ipo maeneo gani, last results, picha, n.k