SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Asante sana snipa.Wastahili Rep power nyingine.Mkuu kwanza shukrani kwakuniongezea Rep power !
Pili !
Shule ipo Serengeti Mkoani Mara ! Kata ya Busawe !
Busawe ni jina la kata ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania.
Last edited by a moderator: