Tetesi: Mliopo Algeria hii Taarifa ni ya kweli ili Niifurahie zaidi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwamba baada ya Waalgeria kuzuia Camera za Media za Tanzania kuingia Algeria hivi punde inasemekana wamezuia Yanga SC kuingia na Maji yao ya Kunywa na Unga na Mchele wa Kupika waliotoka nao Dar es Salaam nchini Tanzania na sasa Uongozi wao umeenda kuomba Msaada Ubalozi wa Tanzania nchini Algeria.

Kama ni ya kweli basi GENTAMYCINE nawapongeza mno Waalgeria na Timu yao ya USM Alger FC kwa Fitina walizofanya na watakazofanya pia.

Na ikiwezekana hawa Waarabu wawazuie Yanga SC ( Wachezaji na Mashabiki ) walioandamana na Timu Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya ) katika Vyoo vyao na kama Wakibanwa na Haja ( Kunya ) basi Wakanye ( Wakaukweke ) katika Ndege yao ATCL Dreamliner iliyowapeleka huko.

Si mnajifanya nanyi mnaweza Fitina za Soka kama za Simba SC waliokomaa na Utaalam huo bila ya hata Mtu yoyote kujua? Haya pambaneni nao ili Wawanyooshe vizuri na mshike Adabu zenu.

Kudadadeki....!!
 
Itakuwa Walienda na Unga Wa Kupika ugali na Sukari kama Mboga ndo wakazuiwa.

Ila ni Uzuzu sana kushabikia hili jambo kama lina ukweli. Siyo lazima upende Mafanikio ya YANGA, tuwe na UTU wa kuwajali japo WaTanzania wenzetu walioko kule. Kwahyo Endapo wangepata Ajali wakafariki bado ungefurahi kisa ni wapinzani wako?

TUWE WAZALENDO KAMA TAIFA. TUPENDANE KAMA WATANZANIA
 
Kwamba baada ya Waalgeria kuzuia Camera za Media za Tanzania kuingia Algeria hivi punde inasemekana wamezuia Yanga SC kuingia na Maji yao ya Kunywa na Unga na Mchele wa Kupika waliotoka nao Dar es Salaam nchini Tanzania na sasa Uongozi wao umeenda kuomba Msaada Ubalozi wa Tanzania nchini Algeria.

Kama ni ya kweli basi GENTAMYCINE nawapongeza mno Waalgeria na Timu yao ya USM Alger FC kwa Fitina walizofanya na watakazofanya pia.

Na ikiwezekana hawa Waarabu wawazuie Yanga SC ( Wachezaji na Mashabiki ) walioandamana na Timu Kujisaidia Haja Kubwa ( Kunya ) katika Vyoo vyao na kama Wakibanwa na Haja ( Kunya ) basi Wakanye ( Wakaukweke ) katika Ndege yao ATCL Dreamliner iliyowapeleka huko.

Si mnajifanya nanyi mnaweza Fitina za Soka kama za Simba SC waliokomaa na Utaalam huo bila ya hata Mtu yoyote kujua? Haya pambaneni nao ili Wawanyooshe vizuri na mshike Adabu zenu.

Kudadadeki....!!
Simba mwenzangu, tuwaombee watani wachukue kombe
 
Je hayo maji na vyakula vimethibitishwa kabla na TBS ya Algeria au walibeba wakidhani wanaenda mtwara.....taratibu ziko wazi za kuingiza bidhaa mipakani hasa unapokuwa na bulk kubwa ya mzigo tena in cartons. ukizingatia hizo nchi za kiisalm wao very sensitive na vyakula na vinywaji vinavyoingia...wenzao Simba huwa wanatuma watu mapema sanaaa kufanya maandalizi yote kuanzia vyakula ,vinywaji ,malazi, usafiri ,etc
 
Umejazwa uka jaa na hili zuzu
 
Back
Top Bottom