Tetesi: Mliopo Algeria hii Taarifa ni ya kweli ili Niifurahie zaidi?

Hzo fitina simba zimewafikisha wp nyie c mlikuwa mnawanga hadharani kule south
 
Popoma kwa hili nakuelewaga sana fala wee 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼 yaani bwege wanakuoneaga kama wanavyonioneaga mie kunigoga BAN 😡😡
 
Taira Pro max
 
Hivi Mkuu unakula na mods sehemu moja nini[emoji28][emoji28][emoji28] maana sio kwa wanavyokuandama
 
watukataze kunya au vyovyote kipigo cha 3-0 kipo pale pale
 
Kwa Aina ya Bandiko lake hili ningeshangaa Mods wakamfungia Macho
 
Teh teh teh teh teh et ndege inanuka mizizi dah lakini watu aisee
 
[QUOTE="Wakibanwa na Haja ( Kunya ) basi Wakanye ( Wakaukweke ) katika Ndege yao ATCL Dreamliner iliyowapeleka huko.

Kudadadeki....!!
[/QUOTE] Mkuu nmecheka kwa nguvu mpaka kupelekea kuwastua waliokuwa wameuchapa usingizi, dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…