Mzee baba naona huko Kilimanjaro/Moshi wafanyabiashara 650 wameandika barua TRA ya kufunga biashara zao.
Huku dar tunaishi kiujanja ujanja tu kama kawaida yetu.
Huku hali ni tete mzee mwenzangu, mimi pia nataka nika shutdown TIN yangu isije kulimbikiziwa madeni bure.Mzee baba naona huko Kilimanjaro/Moshi wafanyabiashara 650 wameandika barua TRA ya kufunga biashara zao.
Huku dar tunaishi kiujanja ujanja tu kama kawaida yetu.
Wale wafanyabiashara 650 na wewe upo au?🤣🤣🤣🤣🤣 huyo jamaa bana...
Kwahio hapaingiliki hata kwa njia za panya hapo town?
Mkuu inategemea na biashara yako.Mie ni wa 651 mkuu!
Kwenye usafirishaji ni habari njema kwa wenye bikes na hata huko kwa sabuni na sanitizer soko litakuwa liko freshi.Ndoo za plastiki zimepanda bei, na zimekuwa dili. Biashara njema kwa waziuzazo. Vibomba vya plastiki vya kuweka kwenye ndoo, navyo si haba. Sanitaiza. Na bidhaa zote ziendanazo na wakati uliopo, soko lake zuri kwa wachuuzi.
Levo siti imesababisha fursa ya kuchukua leseni za muda mfupi LATRA kwa wanaotaka kujiunga kutatua tatizo la usafiri. Bodaboda na Bajaji ruksa CBD. Hili ni soko zuri lengine.
Sawa mkuu ila huku nilipo ngoma ni zaidi ya nzito mkuu! Af mishe za kuganga njaa ni tight ku survive kuliko sekta ya ajira.Jibu Jepesi kabisa,,,Ngoma ni nzito!!
Naona madhara ya Corona yakijikita zaidi kwenye Uchumi.
Mungu atusaidie mana ikiendelea hvi tutapoteana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji kipi utakuta hela mkuu, maana uchumi wetu unategemea international business. Vijijini ma NGO ama watalii ndio wanapelekaga hela ila kama Donors wamejifungia hela zinakujaje bongo? Bora utulie maana hamna mahali pepesi pa kuganga njaa kama DSM.Biashara ningumu....mm nilikuwa nimezoea nikitoka kweny kibarua cha ualimu ....naanza kutembeza nguo/ lkn sahv siendi kazini hila mauzo yako down chini ya mwanzo nilipokuwa natumia Massa matano au manne.
Sahv hofu ya corona imekuwa kubwa sana sasa, hali ikiendelea hivi nawaza sijui niende kijijini.
Gari Bandarini na mizigo mingi imepungua either kutoka Japan ama China,Kiuhalisia sie tunategemea sana mzunguko mzuri wa Biashara toka nje..Kwenye usafirishaji ni habari njema kwa wenye bikes na hata huko kwa sabuni na sanitizer soko litakuwa liko freshi.
Vipi katika nyanja zingine kama vyakula na soko la kariakoo?
Yes Labda mkoani,, Ila mie Binafsi kwa Maneno machache "Hali ni Tete"Sawa mkuu ila huku nilipo ngoma ni zaidi ya nzito mkuu! Af mishe za kuganga njaa ni tight ku survive kuliko sekta ya ajira.
Huko kwenye ajira sekta binafsi ndio tumepigwa kofi. 3-6 Months notice likizo bila malipo. Ina maana kama una side business unaendelea kukimbiza ila too bad multiplier effect imeshatinga nako.
Hamna afadhali zaidi ya kucheki line mikoa mingine ambayo unaweza ishi kivyovyote.