Mliopo Dar, hali ya kibiashara ikoje sasa?

Mliopo Dar, hali ya kibiashara ikoje sasa?

Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM.

Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
Watu hawafanyi biashara. Wateja wamejifungia wanaogopa corona
 
Kila mtu na ufahamu wake unataka nimuache mjene mkengu na watoto kwa ajiri ya uzembe wangu !nimegeuza zangu chap leo nimefika home nacheza na wangu korona sio jambo la kispotispoti
unakufa kwa uzembe halafu kanatokea kajamaa ka bodaboda kana mrithi mkeo raha mustarehe wanajilia vyao kihalali,daah inauma sana unajua
 
muziki ni mzito..
hakuna biashara watu wanaogopa kutoa hela zao wanasikilizia lockdown..
Sokoni Hamna jipya,
Watu wanaogopa kununua Belo wakifungua wanamuuzia nani..

yaani tunakufa na njaa.
 
Najaribu kutafakari, neema baada ya hili janga kuisha

Kuna imani kuwa kwenye crisis yoyote huwa kuna fursa zinaibuka, wakati na punde baada ya janga kuisha

Hili picha sijui litaishaje [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh vipi kuhusu bike na bajaji?

Sijajua kwa upande wao lakini kikubwa ni kwamba watu wamepunguza movement zisizo na umuhimu lakini pia watu wanatumia magari yao kwa wingi
Lakini pia ufungwaji wa ofisi tofaut za kimataifa na kitendo cha wageni kutoka nje ya nchi kuzuiwa ni sababu kubwa inayochangia maana hao ndio wateja wenyewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom