MLIOPO DAR LEO KUNA JUA KALI HAIJAWAHI KUTOKEA YAANI NAHISI KABISA KICHWA KINAUNGUZWA

Hahahahaaa ukichanganya na kuishiwa sasa, halafu na akale ka wimbo ka CCM hahahahhahhahaa
 
Nende penye jua kisha sikilizia
 
Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania
Thursday 12:00 PM
Mostly Cloudy

31 °C
Precipitation: 5%
Humidity: 63%
Wind: 10 km/h
 
Msijali mkuu wa mkoa atalipiga jua marufuku kusumbua watu.
 
we uko wap mkuu gongo la mboto au mbagala iyooo ase?
 
The weather extremes in Pakistan include high and low temperatures, Heaviest rainfall and flooding. The highest temperature ever recorded in Pakistan is 53.5 °C which was recorded in Mohenjo-daro, Sindh on 26 May 2010.

Mpwa leo sisi tuna 31C unashtuka angalia hio ngoma ya Pakistan hadi 53C
 
Hiyo nayo umeanzishia thread!?
Ndio Kwa sababu jua likiwa kali halafu mtaani shida Sana SAWA SAWA na kufika kule pazuri tulioadiwa kwenye kampeni Sasa ni kazi MUNGU atusaidie tusipate majanga makubwa Amina
 
Dah...Mbona kuna wingu tu bana?... Muwe mnakula kwanza na mkishiba ndiyo mvute.....😎😎😎
 
Hahahahaaa ukichanganya na kuishiwa sasa, halafu na akale ka wimbo ka CCM hahahahhahhahaa
Me naomba tusipate majanga makubwa wabunge WA CCM mpaka na wenyewe wanahofia SERIKALI. KUNA mahali tumekosea kama taifa me na uhakika lowassa angeshika nchi WATU wanaofurahia maisha. Tunekamatwa awamu hii hatuna jinsi tuipe saport serikal. Jua kali Lina mengi. CCM mewatapeli wazanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…