ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Toka NJE uthibitishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mandela Roadwe uko wap mkuu gongo la mboto au mbagala iyooo ase?
Ndio Kwa sababu jua likiwa kali halafu mtaani shida Sana SAWA SAWA na kufika kule pazuri tulioadiwa kwenye kampeni Sasa ni kazi MUNGU atusaidie tusipate majanga makubwa AminaHiyo nayo umeanzishia thread!?
Me naomba tusipate majanga makubwa wabunge WA CCM mpaka na wenyewe wanahofia SERIKALI. KUNA mahali tumekosea kama taifa me na uhakika lowassa angeshika nchi WATU wanaofurahia maisha. Tunekamatwa awamu hii hatuna jinsi tuipe saport serikal. Jua kali Lina mengi. CCM mewatapeli wazanzibarHahahahaaa ukichanganya na kuishiwa sasa, halafu na akale ka wimbo ka CCM hahahahhahhahaa
ah inaezekana ni kwel,si njia ya mbagala iyo.ila uku kwetyu kawaida sio kali sanaMandela Road