Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kwa wale wanaoishi hapo mjini, vpi kuhusu vitambulisho vishaanza kusambazwa/kugawiwa kwenye kata husika kwa wale tuliojiandikia this year?
Kata kama Rahaleo, Chikongola, Likombe, Majengo, Mdenga, Kisutu, Shangani. Kwa maana sasa nipo mbali na huo mkoa na namba ya NIN nimepata kama miezi miezi 2/3 iliyopita. So ninakuwa na wasiwasi isije ikawa vimekuja kitambo na watu wanagawiwa.