Mliopo Manispaa ya Mtwara - Mikindani, vitambulisho vya NIDA vimetoka huko?

Mliopo Manispaa ya Mtwara - Mikindani, vitambulisho vya NIDA vimetoka huko?

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Kwa wale wanaoishi hapo mjini, vpi kuhusu vitambulisho vishaanza kusambazwa/kugawiwa kwenye kata husika kwa wale tuliojiandikia this year?

Kata kama Rahaleo, Chikongola, Likombe, Majengo, Mdenga, Kisutu, Shangani. Kwa maana sasa nipo mbali na huo mkoa na namba ya NIN nimepata kama miezi miezi 2/3 iliyopita. So ninakuwa na wasiwasi isije ikawa vimekuja kitambo na watu wanagawiwa.
 
Hivi Mtwara mji nzima hakuna member wa JF..?
Mbona kimya hvyo wazee wa kuchelee nawategemea
 
Wenzio tunahangaika kutafuta fedha za gawio kabla ya siku 60 wewe unaulizia vitambulisho? Ridhika na namba uliyopata tukikabidhi gawio tutakujulisha uje uchukue kitambulisho chako Mkuu!
 
Kama hutaki sawa komaa,
siku utayoona TCRA wamekufungia line yako usijie kulialia humu.. Tena hata JF hutoweza ku-access
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Unajifanya umeniweza

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unajifanya umeniweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom