: Mliopo TZ tupeni live mechi ya Yanga na Tusker

: Mliopo TZ tupeni live mechi ya Yanga na Tusker

Freetown

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
882
Reaction score
78
Ombi kwa mliokaribu tupeni live kadri mechi ya Yanga na Tusker inavyoendelea
Natanguliza shukrani
 
Hiyo imekaa vipi?sitaki kucheza na Simba Mshindi wa tatu

Dk ya 71, yanga wameshindwa kufunga goli mpira wa adhabu ndogo na sasa ni dk ya 77 goli ni 0-1
 
Dk ya 71, yanga wameshindwa kufunga goli mpira wa adhabu ndogo na sasa ni dk ya 77 goli ni 0-1
Endelea kunipa matokeo..ina maana tutakutana na Simba?ila najua watarudihsa goli..
 
soka la bongo presha tupu...tuangalie million 500 vs million 140 itakuwa vipi..
 
Mpira umeisha saa nyingi,Yanga kapigwa goli hilo hilo moja.
Hii maana yake ni Yanga na Simba Jpili saa nane mchna pale taifa
 
gang chomba
njoo jukwaani tukate ishu,kufungwa kwa yanga ndio sports hiyo
 
Back
Top Bottom