Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

Huyo wala asiwasumbue kichwa hayo anayoyafanya leo wala maamuzi hayo hakuyachukua jana wala juzi.

Huo mpango wa kujiuzulu na kuyafanya anayoyafanya huenda alishauanza miaka hata miwili au hata mitatu huko nyuma au hata mwaka nyuma.

Kumbuka alikuwa balozi wa Cuba na unajua nchi hyo inaongoza kwa kitu gani so connection ya kuchorewa ramani ya anachokifanya leo huenda kuna mkono wa alikokuwa anafanyia kazi kama balozi.

So kwa mtu ambae ana knowledge ndogo tu ya ujasusi lazima ajue nikifanya kitu fulani na fulani lazima kuna reaction fulani zitatokea kwa hyo je zikitokea natakiwa kuchukua njia gani?

Hapo huenda hyo video aliichukua hata mwaka jana na ili kuwadaka vizuri akaichukua usiku sababu alijua tu baada ya kuyafanya aliyoyafanya lazima atatafutwa so ili kuwachezea shere watafutaji lazma niwafanyie hiv na hivi ili wajue niko Tanzania.

Na siyo hilo tu bali kuna mengi sana yanakuja lakini ninahakika yote hayo ni package ambayo ameshaiandaa so kwa sasa anatoa tu series kulingana na situation iliyopo.

BUT "UJASUSI NI MCHEZO NA ALWAYS MSHINDI NI YULE ATAYETEGUA MTEGO WA MWENZIE SO TIME WILL TELL

"PAKA MWENYE KUIJALI KESHO YAKE HAWEZI KUMLA PANYA MWENYE MIMBA"
JE
 
Hiiii ikulu yetu ambayo kwenye louvers imewekwa maplastic usichungulie hasa najiulizaga hawapendi hewa nzuri.
 
Hii alijiandaa mapema kabla ya kujiuzuru .ki ukweli hayupo nchini
 
Reactions: Lax
Nakubaliana na wewe hii inaweza ikawa ya mwaka juzi
 
Mpaka sasa hakuna AI sophisticated ya kuweza kutoa facial structure ,skin details, eye texture resolution na clarity kama ya kwenye hiyo video na ikawa consistent Kwa hiyo duration. Ifike mahali jifunze kuukubali ukweli ata kama huutaki
Tanzania ipi yupo, hii hii ambayo mpaka malaya wanaonekana wazi wazi, yeye anayetaka mabadiliko haonekani vizuri! Halafu anathubutu kusema cdm wamekosea kuacha kushiriki uchaguzi, wakati yeye anayetaka mabadiliko kama cdm anatengeneza clip za usiku mzito! Anaogopa nini kama ni rahisi kupata mabadiliko? Huyo anatakiwa akamatwe alawitiwe vibaya, ila avune siasa za kishenzi walizokuwa wanafanya chini ya dhalimu magu.
 
Sema huyu jamaa siku wakimnata namuomea huruma sana. Na sis watanzania tutaishia tu ku post bila kufanya lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…