Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

HPP hayupo bongo. Na anawahadaa sana wale wanaotaka kumuonyesha yupo.

Alichofanya sio kitu kidogo. Kimewatetemesha wenyewe. Na kama wangempata, sijui ingekuwaje
Lakini kama aliingia Tanzania si Immigration wanakuwa na kumbumbuku? Huwezi kutoka nje ya nchi uingie Tanzania bila Uhamiaji kukugongea, unless umepitia njia za panya, kitu ambacho najua hawezi ku-risk kukifanya. Hivyo kama yupo nje, basi hawezi kuidanganya serikali.
 
Lakini kama aliingia Tanzania si Immigration wanakuwa na kumbumbuku? Huwezi kutoka nje ya nchi uingie Tanzania bila Uhamiaji kukugongea, unless umepitia njia za panya, kitu ambacho najua hawezi ku-risk kukifanya. Hivyo kama yupo nje, basi hawezi kuidanganya serikali.

Kabisa. Na automatically angekuwa under surveillance radar.
 
Kwani anatafutwaa?, Ipo wapi hati ya kumkamata ili tuone kama ameweza kujificha.

Kujificha wakati hautafutwi sio kujificha.
 
Lisu alisema tutakinukisha, wanaccm wakanuna. Sasa mwanaccm mwenzao Polepole ameanza kukinukisha rasmi
 
Ukiwa mtu wa demokrasia, unakuwa na sifa za kitumwa, kukaa upande wa wale wasiokuwa na nguvu. Sifa ya taifa lililoimarika na Christ ni kuongezeka kwa watu wa demokrasia, they love slave morality.

Wanapenda kumchukia mwenye nguvu, na kukaa upande wa asiye na nguvu, changamoto ni kwamba hawa wakristo(ntaachana na hili neno) wanaogopa kuteseka, na wakati kwenye mafundisho mateso ni ishara ya ukombozi, toba...

Tundu antipass Lissu, the best Christ man ever seen in this land, ameukubali msalaba, lengo ni kufika kaanani, nchi ya asali na maziwa

Unaanza na Christ halafu demokrasia inafata, wala msiwe na shaka, deliver Christ, ccm itatoka madarakani, Christ man haogopi kufa Kwa maana ameandikiwa pepo, Hawa wa huku wanaogopa kufa,
Africa, kwenye ballot, Mimi binafsi ninaisubiri Nigeria ndani ya Tanzania
 
Amekuwa kama Kigogo ambaye mpaka leo hajulikani yuko wapi!
 
Tanzania ipi yupo, hii hii ambayo mpaka malaya wanaonekana wazi wazi, yeye anayetaka mabadiliko haonekani vizuri! Halafu anathubutu kusema cdm wamekosea kuacha kushiriki uchaguzi, wakati yeye anayetaka mabadiliko kama cdm anatengeneza clip za usiku mzito! Anaogopa nini kama ni rahisi kupata mabadiliko? Huyo anatakiwa akamatwe alawitiwe vibaya, ila avune siasa za kishenzi walizokuwa wanafanya chini ya dhalimu magu.
Inaoneka hata ww ushalawitiwa...ndo mchezo wenu huko ccm...mwanaume unasaport ufirauni..shenz kabisa
 
Mtu akiwa mjinga atadhania kuwa Slowslow, na Gwajiboy wanaipopoa mamlaka.

Ila mtu atakuwa mpumbavu kama funza atakapokubali kuwa mamlaka wameshindwa kumkamata Gwajiboy au Slowslow ili hali wapo humu Dar es salaam wanakula mbunye za madada poa na supu za pweza pamoja na kununua KYJelly.

Hii ni sinema ya ndani kwa ndani ili wajinga na CDM wacheze mziki wa mamlaka huku wakurungwa wakiilekea oktoba kirahisi.

Slowslow ni jasusi, Gwajiboy anajiita jasusi la Mbinguni, unganisheni dots hizo mjifunze mambo enyi watanganyika a.k.a wadanganyikaji.
 
Hata Gwajima watu walikuwa wanasema anasakwa na Polisi hata walipomuona anapenda kuchukua fomu ya ubunge.
Yupo jana yupo mtu( Mkenya) alikuwa anaongea kuhusu ,watu wanne aliowataja kwamba ni mwiba kwa Serikali: Polepole, Gwajima, Tundu Lissu,Heche.
Anasema yeye alienda Geita akakutana na Mzee mmoja ambaye alimwambia hawa watu ndio wakombozi kwa sasa.
Anasema," Huyu Mzee,sitamtaja jina, alisema Tundu Lissu, Gwajima, Polepole na Heche( sijui nani huyu Heche sijamsikia),hawa ndio wakombozi wa Tanzania kwa sasa ."
Mi nadhani Hawa watu wanapinga,ndio, lakini kila wakienda kwenye Uchaguzi CCM inawagalagaza. Kwa hiyo ni watu tu wanazungumza empty words.
Sasa ukisema Polepole anasakwa na Polisi hiyo haileti maana sana.
CCM wako katika Uchaguzi wa ndani,na Leo,kwa mfano,wana mtihani, kuona kama Chama kina sera sahihi
 
Back
Top Bottom