Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

Mbona usiku sasa?

Aje hapo mchana au zile press zake ataje venue waandishi waje physically pale.😁
 
Huyu jamaa kweli napenda anavyowapopoa Ccm lakini kitu anachonikera ni upumbavu km huu, ku post post vitu vya kijinga kama hivi mara acheze nyimbo za akina Alikiba.
Hakuwahi kuwa makini
 
Pole pole anatoa Raha burudani utamuπŸ˜„
 
Hii alijiandaa mapema kabla ya kujiuzuru .ki ukweli hayupo nchini
Mala nyingine binadamu tunashauriwa kujizuia kutumia hisia zetu kupingana na fact. hatupaswi kubishana na facts hata kama hisia zetu hazi amini fact husika. Kama hauamini kitu fanya utafiti ili upate fact za kuweza ku prove wrong au kuthibitisha hisia zako.

Hapo ulitakiwa uonyeshe fact kuthibitisha kuwa ni video ya zamani au kuthibitisha kuwa kwa sasa huyo mtu yupo nje ya nchi ili kutusaidia jamii tusidanganywe.

Wanazuoni wanasema kutumia hisia kubishana na fact ni sawa na kupiga makelele ambayo yanaweza ku mislead jamii na mfanya maamuzi.

Tunapaswa wote kutumia fact kuisaidia jamii isidanganywe na mtu anayetumia fact za uongo.
 
With AI anything is possible
AI imekuja na janga jingine kwa watanzania. Hata kwenye ukweli, tulivyo wabishi tutakuwa tunasema ni AI. Na mbaya zaidi kwenye tech tuko nyuma sana hivyo kila kitu kitaitwa AI!
 
Sema huyu jamaa siku wakimnata namuomea huruma sana. Na sis watanzania tutaishia tu ku post bila kufanya lolote
huyo ni kama kirusi, wanaweza wakawa na access ya kumpata ila wakauchuna kwanza kujua godfather wake ni nani.. hiyo ni kama honeypot 🍯

huyu ndio niguse ninuke sio yule alie guswa akanuka
 
huyo ni kama kirusi, wanaweza wakawa na access ya kumpata ila wakauchuna kwanza kujua godfather wake ni nani.. hiyo ni kama honeypot 🍯

huyu ndio niguse ninuke sio yule alie guswa akanuka
Namhurumia sanaa
 
Hivi mtu kama Polepole anaweza kudanganya yuko ndani ya Tanzania bila uhamiaji kujua? Ina maana kama uhamiaji hawajui basi alitumia njia za panya kuingia kitu ambacho sidhani kama anaweza kukifanya kwa sababu watakuwa wamepata sababu nzuri sana ya kumshughulikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…