macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Lakini kama aliingia Tanzania si Immigration wanakuwa na kumbumbuku? Huwezi kutoka nje ya nchi uingie Tanzania bila Uhamiaji kukugongea, unless umepitia njia za panya, kitu ambacho najua hawezi ku-risk kukifanya. Hivyo kama yupo nje, basi hawezi kuidanganya serikali.HPP hayupo bongo. Na anawahadaa sana wale wanaotaka kumuonyesha yupo.
Alichofanya sio kitu kidogo. Kimewatetemesha wenyewe. Na kama wangempata, sijui ingekuwaje
Lakini kama aliingia Tanzania si Immigration wanakuwa na kumbumbuku? Huwezi kutoka nje ya nchi uingie Tanzania bila Uhamiaji kukugongea, unless umepitia njia za panya, kitu ambacho najua hawezi ku-risk kukifanya. Hivyo kama yupo nje, basi hawezi kuidanganya serikali.
TanzaniaHumphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
View attachment 3429487
Dunia ni kama kijiji.Kwani ni wapi hapo?
Yule Mbunge alinichosha sana sana.... sidhani kama wananchi watamrudisha.😂😂😂 Peleka pendekezo mzee
Hapo tunapafahamu, ni VieteHumphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
View attachment 3429487
Sie wa Venezuela twafahamu alipo na yupo mahali salama kabisa na hatuna shaka na hilo.Kuna Sisi tuliosoma Cuba tumeshang'amua
Umeme wa ikulu buree. AC ZIKO ON 24HRSHiiii ikulu yetu ambayo kwenye louvers imewekwa maplastic usichungulie hasa najiulizaga hawapendi hewa nzuri.
Inaoneka hata ww ushalawitiwa...ndo mchezo wenu huko ccm...mwanaume unasaport ufirauni..shenz kabisaTanzania ipi yupo, hii hii ambayo mpaka malaya wanaonekana wazi wazi, yeye anayetaka mabadiliko haonekani vizuri! Halafu anathubutu kusema cdm wamekosea kuacha kushiriki uchaguzi, wakati yeye anayetaka mabadiliko kama cdm anatengeneza clip za usiku mzito! Anaogopa nini kama ni rahisi kupata mabadiliko? Huyo anatakiwa akamatwe alawitiwe vibaya, ila avune siasa za kishenzi walizokuwa wanafanya chini ya dhalimu magu.
Nimeipenda hii kauli."PAKA MWENYE KUIJALI KESHO YAKE HAWEZI KUMLA PANYA MWENYE MIMBA"
Mkuu hapa ni nje ya nchi, sio Tanzania. Mnataka arudi nchini ili CCM walimshe sumu kama walivyomlisha Mwakyembe? Muogopeni Mungu.Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
View attachment 3429487
Kweli kabisaKwani anatafutwaa?, Ipo wapi hati ya kumkamata ili tuone kama ameweza kujificha.
Kujificha wakati hautafutwi sio kujificha.