Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

Mkuu hapa ni nje ya nchi, sio Tanzania. Mnataka arudi nchini ili CCM walimshe sumu kama walivyomlisha Mwakyembe? Muogopeni Mungu.
Nje ya nchi na unaona Kuna sanamu la askari wa posta bro?
 
Uchaguzu huo inafanyika katika mazingira gani?
Kanuni na sheria za uchaguzi zimeegemea upande Gani? Kama ni kweli ccm inawagalagaza kwann ombi la kumodify katiba Kila mhimili ujitegemee mchakato wa kupata viongozi wake linapigwa teke katika Kila awamu? Kwanini maboresho madogo katika vifungu vyenye mashiko juu ya demokrasia hayafanyiki?
 
Nimeipenda hii kauli.
Means siyo kwamba system haina mikono ya kumkamata bali wanauo uwezo sema wanajua hayuko peke yake bali kuna nguvu/watu wako nyuma yake so hapo inatafutwa chain nzima then mwishoni anachukuliwa na chambo mwenyewe
 
Kwa vile siyo treason hawawezi kukamatwa hadharani kihalali.
Wanawatafutia kosa, na wenyewe Wana nguvu ya ushawishi kwenye jamii kuliko akina Heche na Lissu.
Wakiwakamata bila akili nchi itachafuka na serikali ita anguka.
Itakuwa mwisho wa CCM Kama KANU.
Wenyewe wameshakuambia lazima regime change after
 
watu hawaoni hili jambo kwa kina chake kinavyotisha. hiyo ni vita ya uhai
 
Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
View attachment 3429487
Tulisema humu!

Yajayo yanafurahisha!, tuwe na subira, OTOBER NI MBALI SANA.... Ukombozi U karibu!

Mtu wa Calibre ya polepole, kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini, kuendelea kuwepo nchini, tena mahala kama Posta ( Askari monument) iwe usiku ama mchana...SIO JAMBO LA KAWAIDA KAMA INAVYOFIKIRIKA!

Tuvute subira, UKOMBOZI UMEKARIBIA...

Akili kubwa zimenielewa nini namaanisha hapa!
 
Hapo fact ni ipi,HP yupo nchini au la?
 
Hapana bro system haifanyi kazi hvyo,mchakato wa kudeal na mtu kama pole pole huwa haukurupukiwi ndo maana unaona watu kama hawana habari nae vile.

Note:
Kwenye nchi unaweza kufa 18/2026
Lakini huku ikawa imetiwa tiki ulikufa au kupotea 27/11/2025
 
Nimekupata mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…