Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Achana na wapumbavu waliotoa mchezaji kwa ubwabwa wa ikulu.Juzi wajinga wajinga humu walipost kuwa Simba wamenunua migoli kwa Polisi ili Ntibazonkiza awe mfungaji bora na wakaenda mbali kwa kuitaka bodi kuchunguza, sasa Leo azam kamweka bao 8 0 huyo Polisi na Dube alikuwa ameshaweka mabao 4 nyavuni.
Haya Leo mnasemaje azam kanunua au vp?
Kuna team ambayo haikucheza na Polisi? Kama kila team ilicheza na Polisi kwanini kila team haikupata hayo magoli mengi? Mfano Mayele nae alitakiwa afunge magoli mengi pale kama kweli Polisi ni dhaifu.Aisee kimbe Saidoo hatakiwi kushangilia kabisa yale magoli.
Yule anaetembea na visigino kama anakwato au amevaa kokoko ?Kuna team ambayo haikucheza na Polisi? Kama kila team ilicheza na Polisi kwanini kila team haikupata hayo magoli mengi? Mfano Mayele nae alitakiwa afunge magoli mengi pale kama kweli Polisi ni dhaifu.
Nyie wajanja mliomchukuwa amewaletea nini zaidi ya hiyo robo fainaliGongowazi wapuuzi sana walimuacha Saido wakamchukua Morrison sasa wanajamba jamba ovyo,akili siyo kama matako kuwa kila mtu anayo,utopolo hawana akili kabisa
asa mtu kashashuka why asiendelee kufanya biashara!!!Juzi wajinga wajinga humu walipost kuwa Simba wamenunua migoli kwa Polisi ili Ntibazonkiza awe mfungaji bora na wakaenda mbali kwa kuitaka bodi kuchunguza, sasa Leo azam kamweka bao 8 0 huyo Polisi na Dube alikuwa ameshaweka mabao 4 nyavuni.
Haya Leo mnasemaje azam kanunua au vp?
Zip ungekuwa! FEISAL SALUMHuu uzi hautembei😂😂😂