Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Juzi wajinga wajinga humu walipost kuwa Simba wamenunua migoli kwa Polisi ili Ntibazonkiza awe mfungaji bora na wakaenda mbali kwa kuitaka bodi kuchunguza, sasa Leo azam kamweka bao 8 0 huyo Polisi na Dube alikuwa ameshaweka mabao 4 nyavuni.
Haya Leo mnasemaje azam kanunua au vp?
Haya Leo mnasemaje azam kanunua au vp?