Itakuwa wanasoma Machine learning ikiwemo statistical ml, machine learning, deep learning etcMliosoma Bachelor ya Data Science hapo Chuo cha Takwimu, hiyo kozi imekaaje na je masomo ni lini na lini kwa mtu anayekimbiza mbanga zake town au anayefanya kazi