Naombeni tathimini ya ajira kwa waliosoma Public Health, inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kwelikweli...Naombeni tathimini ya ajira kwa walio soma Public Health..inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni tathimini ya ajira kwa walio soma Public Health..inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeandika mawazo yako yote kwa kiswahili.Hii master kwa mtu aliye na MD naona ni very advantage,kazi zake nyingi ni kwenye mashirika ya afya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu wa nidhamu tena nduguKuna jamaa mmoja
Alikua Mwalimu wa Kiswahilli&History Sekondari moja hapa dar
Alienda kusoma hiyo Masters
Alipomaliza Chuo tu, akarudi kazin na akapandishwa cheo na Kua Mwalimu wa NIDHAMU pale pale SHULENI.
Kwakweli hii Ni nzuri ukiwa kazini, na ukawa unajituma Sana kazin.
INALIPA SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi ukiwa mwalimu wa nidhamu Salario inaongezeka?Kuna jamaa mmoja
Alikua Mwalimu wa Kiswahilli&History Sekondari moja hapa dar
Alienda kusoma hiyo Masters
Alipomaliza Chuo tu, akarudi kazin na akapandishwa cheo na Kua Mwalimu wa NIDHAMU pale pale SHULENI.
Kwakweli hii Ni nzuri ukiwa kazini, na ukawa unajituma Sana kazin.
INALIPA SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Nzuri ila angalau unatakiwa kuwa na background ya fields za Afya.
( MD, RTT, Pharmacy, Environmental Health )
Lengo lao kubwa ni kuwafanya MDs kuwa ndio maboss wa Sekta ya Afya.Not even
Ni nzuri kwa MD na nurses tu
Sera ya sasa hivi ili uwe mganga mkuu wa wilaya lazima uwe na MPH
Lengo lao kubwa ni kuwafanya MDs kuwa ndio maboss wa Sekta ya Afya.
Kwamba awe na Masters in Public Health ili aweze kucontrol both Kinga na Tiba.
Na ukiangalia sababu kubwa ni tamaa tu ya fedha za wafadhili kwenye miradi ya Kinga. Very stupid
Pesa nyingi ipo kwenye Kinga na ukiangalia MPh ni kozi isiyoumiza sana kichwa na nia muda mfupi.Na walivyojazana sasa school of public health..hadi med zimeanza kukosa wanafunzi..kisa uganga ukuu..tamaa mbele..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kuna kozi moja ya MMED ina wanafunzi wageni wote Mtanzania alikuwa mmoja amebadilisha akaenda MPHNa walivyojazana sasa school of public health..hadi med zimeanza kukosa wanafunzi..kisa uganga ukuu..tamaa mbele..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kuna kozi moja ya MMED ina wanafunzi wageni wote Mtanzania alikuwa mmoja amebadilisha akaenda MPH
Pesa nyingi ipo kwenye Kinga na ukiangalia MPh ni kozi isiyoumiza sana kichwa na nia muda mfupi.
Mtu anaona kwanini akomae na Mmed miaka 3 au Msc miaka 2 halafu miradi ya Kinga asipate
Lengo lao kubwa ni kuwafanya MDs kuwa ndio maboss wa Sekta ya Afya.
Kwamba awe na Masters in Public Health ili aweze kucontrol both Kinga na Tiba.
Na ukiangalia sababu kubwa ni tamaa tu ya fedha za wafadhili kwenye miradi ya Kinga. Very stupid
Hiki kigezo kiko nchi gani? Maana kuna sehemu najua mganga mkuu wa wilaya hana hata MD.Not even
Ni nzuri kwa MD na nurses tu
Sera ya sasa hivi ili uwe mganga mkuu wa wilaya lazima uwe na MPH