Mliosoma Masters ya Public Health hali mbaya mtaani au mambo supa?

Mliosoma Masters ya Public Health hali mbaya mtaani au mambo supa?

Siyo lazima isipokuwa ni added advantage
UMESOMA WARAKA MPYA?
Kabla ya waraka uliotoka mwaka Jana mwezi Septemba ilikuwa siyo lazima,kwa sasa ni lazima.

Ni lazima DMO/RMO awe na MPH
Ni lazima Mganga Mfawidhi wa Hospitali za wilaya na vituo vya Afya awe ni MD/MBBS/MBchB na siyo AMO tena
 
1. Nadhani hapo walipoweka mwenye MPH tuu ndiye DMO/RMO itakuwa hawajaangalia mambo kwa upana wake. Mtu aliyesoma mojawapo ya master zifuatazo anaweza kuhold hizo position bila shida yoyote ile:
1.Master ya monitoring and evaluation in health.
2. Master of epidemiology
3. Master of science global health
4.Master of science public health.
Kozi karibu zote za public health contents inayofundishwa zinafanana kwa kiasi kikubwa,hivyo sioni logic ya kusema MPH pekee ndiye anaweza kuwa DMO/DMO.
 
Pesa nyingi ipo kwenye Kinga na ukiangalia MPh ni kozi isiyoumiza sana kichwa na nia muda mfupi.

Mtu anaona kwanini akomae na Mmed miaka 3 au Msc miaka 2 halafu miradi ya Kinga asipate
Mkuu kwa mtu aliyesoma veterinary medicine hali ikoje?
 
Mkuu kwa mtu aliyesoma veterinary medicine hali ikoje?
Ni Kozi nzuri ila kibongo bongo naona haiwasaidii sana wahitimu.

Wengine naona mpaka wamegeuka Bank tellers Mjini.
 
Unajua Mtanivuruga Hapa![emoji849][emoji52][emoji57][emoji41]
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Back
Top Bottom