Mliosoma Masters ya Public Health hali mbaya mtaani au mambo supa?

Ni Nzuri ila angalau unatakiwa kuwa na background ya fields za Afya.
( MD, RTT, Pharmacy, Environmental Health )
 
Hiyo masters nampango wa kuisoma, ila background yangu sio mambo ya afya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwalimu wa nidhamu tena ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi ukiwa mwalimu wa nidhamu Salario inaongezeka?

Au ndo kero zinakuwa mingi
🥴
 
Not even
Ni nzuri kwa MD na nurses tu
Sera ya sasa hivi ili uwe mganga mkuu wa wilaya lazima uwe na MPH
Lengo lao kubwa ni kuwafanya MDs kuwa ndio maboss wa Sekta ya Afya.

Kwamba awe na Masters in Public Health ili aweze kucontrol both Kinga na Tiba.

Na ukiangalia sababu kubwa ni tamaa tu ya fedha za wafadhili kwenye miradi ya Kinga. Very stupid
 
Na walivyojazana sasa school of public health..hadi med zimeanza kukosa wanafunzi..kisa uganga ukuu..tamaa mbele..

Pesa nyingi ipo kwenye Kinga na ukiangalia MPh ni kozi isiyoumiza sana kichwa na nia muda mfupi.

Mtu anaona kwanini akomae na Mmed miaka 3 au Msc miaka 2 halafu miradi ya Kinga asipate
 
Lengo lao kubwa ni kuwafanya MDs kuwa ndio maboss wa Sekta ya Afya.

Kwamba awe na Masters in Public Health ili aweze kucontrol both Kinga na Tiba.

Na ukiangalia sababu kubwa ni tamaa tu ya fedha za wafadhili kwenye miradi ya Kinga. Very stupid
Not even
Ni nzuri kwa MD na nurses tu
Sera ya sasa hivi ili uwe mganga mkuu wa wilaya lazima uwe na MPH
Hiki kigezo kiko nchi gani? Maana kuna sehemu najua mganga mkuu wa wilaya hana hata MD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…