Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Hiki kigezo kiko nchi gani? Maana kuna sehemu najua mganga mkuu wa wilaya hana hata MD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasomaje mpaka Masters wakt huna hujaajiriwa(in service) acha ujinga wenzio izo wanapanda nazo vyeo....Naombeni tathimini ya ajira kwa waliosoma Public Health, inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Master ukitaka ufaidi uwe ajiraniUnasomaje mpaka Masters wakt huna hujaajiriwa(in service) acha ujinga wenzio izo wanapanda nazo vyeo....
ndo ivyo nimemwambiaMaster ukitaka ufaidi uwe ajirani
Fuatilia vizuri utakuta anakaimu mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siyo lazima isipokuwa ni added advantageNot even
Ni nzuri kwa MD na nurses tu
Sera ya sasa hivi ili uwe mganga mkuu wa wilaya lazima uwe na MPH
UMESOMA WARAKA MPYA?Siyo lazima isipokuwa ni added advantage
1. Nadhani hapo walipoweka mwenye MPH tuu ndiye DMO/RMO itakuwa hawajaangalia mambo kwa upana wake. Mtu aliyesoma mojawapo ya master zifuatazo anaweza kuhold hizo position bila shida yoyote ile:UMESOMA WARAKA MPYA?
Kabla ya waraka uliotoka mwaka Jana mwezi Septemba ilikuwa siyo lazima,kwa sasa ni lazima.
Ni lazima DMO/RMO awe na MPH
Ni lazima Mganga Mfawidhi wa Hospitali za wilaya na vituo vya Afya awe ni MD/MBBS/MBchB na siyo AMO tena
Ha ha ha kuna kozi moja ya MMED ina wanafunzi wageni wote Mtanzania alikuwa mmoja amebadilisha akaenda MPH
Hela ni muhimu ili siku ukifa uje uzikwe na siyo kufukiwa.duh watz kwa kupenda hela
Mkuu kwa mtu aliyesoma veterinary medicine hali ikoje?Pesa nyingi ipo kwenye Kinga na ukiangalia MPh ni kozi isiyoumiza sana kichwa na nia muda mfupi.
Mtu anaona kwanini akomae na Mmed miaka 3 au Msc miaka 2 halafu miradi ya Kinga asipate
haha watu wanataka kuzikwa kama MengiHela ni muhimu ili siku ukifa uje uzikwe na siyo kufukiwa.
Ni Kozi nzuri ila kibongo bongo naona haiwasaidii sana wahitimu.Mkuu kwa mtu aliyesoma veterinary medicine hali ikoje?
Kwa sasa kila mtu anataka asome Public Health, nadhani in future watakuwa wengi sana mpaka ajira zitakosekana kwa sector hiyoNaombeni tathimini ya ajira kwa waliosoma Public Health, inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa, mimi pia nna bachelor ya education mkuu, naweza kusoma MPH?Siyo lazima isipokuwa ni added advantage
UnasomaAhaa, mimi pia nna bachelor ya education mkuu, naweza kusoma MPH?
Unasoma ila kama hauna background ya masuala ya afya haina msaada.Ahaa, mimi pia nna bachelor ya education mkuu, naweza kusoma MPH?