Abdulazizmomba
Senior Member
- May 9, 2015
- 189
- 35
Nadhani hakuna issue kubwa zaidi ya kua serious na masomo mkuu, keep watching physics is really a challenge, math follows and chemistry could be the last in complexity(during our time only 4 topics -organic, inorganic, General and physical chemistry, but sio za kitoto kiivo).
Solving nying za past papers na maswali ya nyuma ya vitabu ndo siri ya ufaulu. Usome sana pia ili uweze kutackle maswali mengi. Pcm ni rahisi tu ukitulia
nlisoma PCB so si mbali sana na PCM.
Ishu kuwa serious, tafuta vitabu mapema, usimdharau mwalimu hata kama anakosea. Solve maswali mengi kwenye vitabu rudia mara nyingi. Pia usimsahau Mungu.
fuata aliyokuambia #natoka_hapa but keep in your mind advance mda hautoshi hasa PCM & PCB, so hamna cha hii topic ya form 5 au ya 6 nikufyeka tu, ukipata chance ya kusoma tism piga, but mechanics ni tatzo hasa projectile na rigid body, chemistry sio ishu kiivo and make sure unaenda shule angalau physical yote umeua kuanzia electrodynamics hadi state of matter, general chemistry ya kitoto hata peke yako unaweza ukaisoma. all the best
kuwa makini na nyambari nyangwine (kama bado yupo) vitabu vyake ving vina makosa sana, upande wa soil chemistry tafuta review flani hvi ya enzi hzooo inaitwa RADIATIVE CHEMISTRY
Interesting......muda huwa hautoshi! "Madude" ya kusoma ni mengi lakini hakikisha unaelewa na sio kukariri. Hilo litakusaidia chuo kikuu na hata application baada ya chuo.
Binafsi chemistry ilininyanyasa sana (nilikuwa siipendi pia), lakini physics na maths niliona ni rahisi sana ukishajua principles zake. Lakini kila mtu na kipawa chake! Rahisi kwangu inaweza kuwa ngumu kwako and vice versa.....so just be yourself!
Wengi wanaponzwa na mtazamo wa kuwa chemistry sio kiivo kwa PCM.Kufel hesabu kwa PCM ni uzembe.Hivyo bas jihakikishie sana kuwa deep kwa hesabu na chemistry na then uanze kupambana na physics.Wengi wanawekeza sana kwenye physics na mwisho wa siku inawasaliti.Tumia sana target na kufanya mitihan mingi ni jambo lisiloepukika.Pia punguza kabisa matumiz ya sim na sahau kwamba ulikuwa mwanafunz bora O-level.Hapo unaanza upya... Pitia hiv vitabu pia Nelkon,Rodger,Pure 1&2 na Chemistry soma sana review na kitabu cha Tomduncan kama sijasahau.Mwisho kabisa acha ujinga wa kujifungia na kutokwenda darasani... Mwalimu ni sehem ya ufaulu wako....
Usirundike vitu..visome kila baada ya kufundishwa.pia usije fanya ujinga wa kudharau chemistry kama ilivyo kwa pcm wengi..u never know pia hata ukifaulu pm ukafeli c ..that means utaharibu divisheni