Mliosoma PCM miaka yenu ushauri tafadhali

Abdulazizmomba

Senior Member
Joined
May 9, 2015
Posts
189
Reaction score
35
Natanguliza shukrani,naombeni ushauri,mbinu na njia nzuri za kupambana na PCM kwani naenda kuanza masomo ya 4m5 apo mwezi wa 6
 
Nadhani hakuna issue kubwa zaidi ya kua serious na masomo mkuu, keep watching physics is really a challenge, math follows and chemistry could be the last in complexity(during our time only 4 topics -organic, inorganic, General and physical chemistry, but sio za kitoto kiivo).
 
Asante kaka apo nimekupata na nimekuelewa
 
Solving nying za past papers na maswali ya nyuma ya vitabu ndo siri ya ufaulu. Usome sana pia ili uweze kutackle maswali mengi. Pcm ni rahisi tu ukitulia
 
fuata aliyokuambia #natoka_hapa but keep in your mind advance mda hautoshi hasa PCM & PCB, so hamna cha hii topic ya form 5 au ya 6 nikufyeka tu, ukipata chance ya kusoma tism piga, but mechanics ni tatzo hasa projectile na rigid body, chemistry sio ishu kiivo and make sure unaenda shule angalau physical yote umeua kuanzia electrodynamics hadi state of matter, general chemistry ya kitoto hata peke yako unaweza ukaisoma. all the best
 
kuwa makini na nyambari nyangwine (kama bado yupo) vitabu vyake ving vina makosa sana, upande wa soil chemistry tafuta review flani hvi ya enzi hzooo inaitwa RADIATIVE CHEMISTRY
 
Interesting......muda huwa hautoshi! "Madude" ya kusoma ni mengi lakini hakikisha unaelewa na sio kukariri. Hilo litakusaidia chuo kikuu na hata application baada ya chuo.

Binafsi chemistry ilininyanyasa sana (nilikuwa siipendi pia), lakini physics na maths niliona ni rahisi sana ukishajua principles zake. Lakini kila mtu na kipawa chake! Rahisi kwangu inaweza kuwa ngumu kwako and vice versa.....so just be yourself!
 
Wengi wanaponzwa na mtazamo wa kuwa chemistry sio kiivo kwa PCM.Kufel hesabu kwa PCM ni uzembe.Hivyo bas jihakikishie sana kuwa deep kwa hesabu na chemistry na then uanze kupambana na physics.Wengi wanawekeza sana kwenye physics na mwisho wa siku inawasaliti.Tumia sana target na kufanya mitihan mingi ni jambo lisiloepukika.Pia punguza kabisa matumiz ya sim na sahau kwamba ulikuwa mwanafunz bora O-level.Hapo unaanza upya... Pitia hiv vitabu pia Nelkon,Rodger,Pure 1&2 na Chemistry soma sana review na kitabu cha Tomduncan kama sijasahau.Mwisho kabisa acha ujinga wa kujifungia na kutokwenda darasani... Mwalimu ni sehem ya ufaulu wako....
 
Asante sana mr nitafanya ulivonambia vp kwanini necta 4m6 'A' kuwepo ni adimu xna
 
nlisoma PCB so si mbali sana na PCM.
Ishu kuwa serious, tafuta vitabu mapema, usimdharau mwalimu hata kama anakosea. Solve maswali mengi kwenye vitabu rudia mara nyingi. Pia usimsahau Mungu.

asante sana yote nazingatia ayo vitabu nimepata baadhi na tuition inaendeka vzur tu
 
fuata aliyokuambia #natoka_hapa but keep in your mind advance mda hautoshi hasa PCM & PCB, so hamna cha hii topic ya form 5 au ya 6 nikufyeka tu, ukipata chance ya kusoma tism piga, but mechanics ni tatzo hasa projectile na rigid body, chemistry sio ishu kiivo and make sure unaenda shule angalau physical yote umeua kuanzia electrodynamics hadi state of matter, general chemistry ya kitoto hata peke yako unaweza ukaisoma. all the best

Asante bro herera mechanics niko nakarbia kumaliza taratibu na wave maana now napga tuition kujinoa zaidi kaka
 
kuwa makini na nyambari nyangwine (kama bado yupo) vitabu vyake ving vina makosa sana, upande wa soil chemistry tafuta review flani hvi ya enzi hzooo inaitwa RADIATIVE CHEMISTRY

Kuhusu nyambari nitakua makini apo kaka
 
Interesting......muda huwa hautoshi! "Madude" ya kusoma ni mengi lakini hakikisha unaelewa na sio kukariri. Hilo litakusaidia chuo kikuu na hata application baada ya chuo.

Binafsi chemistry ilininyanyasa sana (nilikuwa siipendi pia), lakini physics na maths niliona ni rahisi sana ukishajua principles zake. Lakini kila mtu na kipawa chake! Rahisi kwangu inaweza kuwa ngumu kwako and vice versa.....so just be yourself!

Asante bro smu nimekuelewa vizuri apo! thanks
 
Wengi wanaponzwa na mtazamo wa kuwa chemistry sio kiivo kwa PCM.Kufel hesabu kwa PCM ni uzembe.Hivyo bas jihakikishie sana kuwa deep kwa hesabu na chemistry na then uanze kupambana na physics.Wengi wanawekeza sana kwenye physics na mwisho wa siku inawasaliti.Tumia sana target na kufanya mitihan mingi ni jambo lisiloepukika.Pia punguza kabisa matumiz ya sim na sahau kwamba ulikuwa mwanafunz bora O-level.Hapo unaanza upya... Pitia hiv vitabu pia Nelkon,Rodger,Pure 1&2 na Chemistry soma sana review na kitabu cha Tomduncan kama sijasahau.Mwisho kabisa acha ujinga wa kujifungia na kutokwenda darasani... Mwalimu ni sehem ya ufaulu wako....

Dah!asante kaka zote point zako apo nitazifanyia haki,nakuahidi
 
Usirundike vitu..visome kila baada ya kufundishwa.pia usije fanya ujinga wa kudharau chemistry kama ilivyo kwa pcm wengi..u never know pia hata ukifaulu pm ukafeli c ..that means utaharibu divisheni
 
Asante mkubwa kwa wazo zuri hilo! umenifumbua apo
 
soma topic zote bila kuzembea. topic za f5 ni ngumu kuliko za f6.
physics is very challenging
good lucky
 
Ukiendelea kukaa kwny mitandao namna hii tegemea div5
 
Back
Top Bottom