Mliosoma PCM miaka yenu ushauri tafadhali

Kuhudhuria shule, kuwa na nidham nyingi za uoga siyo sababu za kujiamin kuwa unaweza kufaulu!!!!!
Kikubwa apa ni kujitambua na kuwa na ratiba unayo ieshim.
Kwa upande wangu nilipiga pcb na sinaga historia ya kufundishwa na mwalim na nakumbuka nikiwa form six nilishinda shule kwa zaid ya miezi saba mfululizo na mda mwingine nilikuwa na weza kumaliza zaid ya wiki bira kusoma....
Kikubw ni kujiamini tuu..(.................)
Na pepa la mwisho nilichana kama kawa na katika marks zangu hakuna kibundi aliye nikaribia.
Ni hayo tuu!!!
wasalaam...
 
Usirundike vitu..visome kila baada ya kufundishwa.pia usije fanya ujinga wa kudharau chemistry kama ilivyo kwa pcm wengi..u never know pia hata ukifaulu pm ukafeli c ..that means utaharibu divisheni

We ni teacher nini?
 
Kama upo vizuri Tafuta Ramsden ya Physics na chemistry,Pia tafuta Mzumbe project na Advance Math Pure I na II.
 

Asante brow!
 
mavitabu mengi kuzeeshana tuu.. chukua mgote chand physics ,ngaiza notes chemistry ..maths sijui
 
Natanguliza shukrani,naombeni ushauri,mbinu na njia nzuri za kupambana na PCM kwani naenda kuanza masomo ya 4m5 apo mwezi wa 6

physics kwa kweli ni mziki mnene, kama uko dar nakushauri ukasome tution ya physics k/koo mchikichini kwa mwl MUDDY,huyu jamaa yupo vzuri mno.
 
ase kaka niko mbeya ila nakaza hata uku

mbeya tulikuwa tunapiga tuition Iyunga, mbeya day... na meta sec kwa mwalim shubi.
sometimes tunaomba Loleza japo ya girls lakini kipindi wakiwa likizo tulikuwa tunaruhusiwa.
 
Nakumbuka wakati naingia form 5 nikishakata half of physics and math syllabus likizo iliyofuatia nikamaliza syllabus yote ya A level kwa masomo hayo mawili! Ukienda Shule inakuwa n kujisomea na kufanya maswali ktk vitabu
Nilipoingia form 6 nikianza kuwafundisha wenzangu na kufanya past papers by namaliza term ya kwanza ya form six nikishakuwa na uhakika wa A ya physics na math ikabaki chemistry tu! Bahati mbaya chemia sikuwa na muda wa kujiandaa ila am sure ukitumia ujuzi huo utapiga 3 bila wasiwasi
Koma sana ila sio lazima ukeshe panga muda wa masomo na muda wa kuenjoy so unapoamua kuenjoy enjoy kweli kweli ili ukimaliza unasoma kwelikweli
 
mbeya tulikuwa tunapiga tuition Iyunga, mbeya day... na meta sec kwa mwalim shubi.
sometimes tunaomba Loleza japo ya girls lakini kipindi wakiwa likizo tulikuwa tunaruhusiwa.

Ebwana iyunga nani alikuwa anawapiga pindi nilimaliza pale miaka hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…