Mliosoma PCM miaka yenu ushauri tafadhali

mbeya tulikuwa tunapiga tuition Iyunga, mbeya day... na meta sec kwa mwalim shubi.
sometimes tunaomba Loleza japo ya girls lakini kipindi wakiwa likizo tulikuwa tunaruhusiwa.

ebana eh me napgia apa tukuyu day unaipata rungwe boy?
 
ebana ratiba nimeipenda kaka,asante xna kwa ushauri
 
hongera sana kumbe we ndo yule martin chegere!!
 
kwa advice yangu man komaa na chem na namba coz phy ni proba man lakin uisome angalau ufaulu but masomo ya kuchomokea ni chem na namba arif
PCM boy A k a Young engineer
 
Ebana me nilipga pcm ila chuo nkakimbilia b.com,maana physics sikutaka tena kusikia harufu yake kabisa.
 
ebana eh me napgia apa tukuyu day unaipata rungwe boy?

rungwe napapata mkuu... japo sio mwenyezi wa huko..... mbeya nilikuwa nakuja tu ilu kukukutana na friends zangu wa olevel so ndio sometimes tukawa tunatafuta na tuition ili tusikae bure maana tayari tulikuwa a-level ila shule advance sikusoma huko.
 
sawa kaka karibu xna pande hii man
 
nlisoma PCB so si mbali sana na PCM.
Ishu kuwa serious, tafuta vitabu mapema, usimdharau mwalimu hata kama anakosea. Solve maswali mengi kwenye vitabu rudia mara nyingi. Pia usimsahau Mungu.

mi nimepiga pcm ila ninachokushauri achana na ya dunia ili uweze muzic wa pcm
 
Ulisoma shule gani? Ulipata div ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…