makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Fundi na bingwa kabisa wa Fizikia, aoumzike kwa amaniNimesikia Amefariki. Kama kweli Apumzike kwa Amani. (Moody physics)View attachment 1624413
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fundi na bingwa kabisa wa Fizikia, aoumzike kwa amaniNimesikia Amefariki. Kama kweli Apumzike kwa Amani. (Moody physics)View attachment 1624413
Chaihakuna biashara inayolipa zaidi ya ile ya mchikidown, Muddy alikuwa anaingiza si chini ya laki 7 kwa siku....Kuna Mgote, Sir Unga, Mwarami na wengine....walituteka pugu boys kabla ya ujio Wa HM mutabuzi....
AiseeKwa Tanzania cjaona mwalim wa Physics kama Moddy... jamaa anaijua Physics kuliko anavyoijua familia yake