AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Habari magreat thinkers! Jamani kama kuna magreat thinkers waliosoma umoja sec ningependa tujuane humu jamvini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule ka hzi hata hazjulikan,hakuna member humu.
da. unanikumbusha mbali sana aisee. nilipiga mzigo pale nikiganga ganga njaa. kwa hiyo dogo mambo yako fresh eeh. mwalimu wenu bado nasota na maisha magumu. nirushie hata vocha
dah! Mi mwaka 2011 ndo nimemalza baba na nilikuwa gentle4 na 9.Oya tupo aise pande za simbo pale kati duu kitambo aise.vp we wa mwaka gani pale?
Shule nyingine hata kusoma habari zake humu kwa great thinkers zinatia kichefuchefu!