Traviana Tray
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 546
- 457
- Thread starter
-
- #61
usjifanye ujuiYa nini tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Aisee kumbe..hizo lips kama zote hivi.
Wapo walionaswa na GireeSema kuna wale majama wa mitandaoni wanakuaga na tabia za kutengeneza ID za kike na kusumbua watu ukiwa mtu wa tongoza tongoza mtandaoni watakupa tabu sana
iringa au¿¿Sema kuna wale majama wa mitandaoni wanakuaga na tabia za kutengeneza ID za kike na kusumbua watu ukiwa mtu wa tongoza tongoza mtandaoni watakupa tabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usjifanye ujui
pol3333Paulina Ray syndrome love Desease kananisumbua sana aseee.
tena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chiniSema kuna wale majama wa mitandaoni wanakuaga na tabia za kutengeneza ID za kike na kusumbua watu ukiwa mtu wa tongoza tongoza mtandaoni watakupa tabu sana
Una lips nzuri hivo eeehAvatar ni mimi mkuu sijatumia ya mutu [emoji23][emoji23][emoji23]
uko poa sana. nikitoka ofisini nakuja kukutembelea upande range kidogoacha uvivuuu em zumu
kasura kangu kenyewe ka upoleee mtoto wa watu stakagi makuuuUnafaa sana kuwekwa ndani na kuliwa kihalali. Tatizo je utatulia?
santeeeUmenikosha kifuan japo ni saa7
wadada wa jf muige mfano jamani
ataaaaaHahaha mama ametoka ofisin amekupa modem?
napandaga gutauko poa sana. nikitoka ofisini nakuja kukutembelea upande range kidogo
hahahahahahahaha sawa sawa ijumaa njemanapandaga guta
looh mwana baba wewe tuschafuane anzisha mada yakotena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini
Wakuu tuwe makini
AsanteeUna lips nzuri hivo eeeh