Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Unafaa sana kuwekwa ndani na kuliwa kihalali. Tatizo je utatulia?
 
Sema kuna wale majama wa mitandaoni wanakuaga na tabia za kutengeneza ID za kike na kusumbua watu ukiwa mtu wa tongoza tongoza mtandaoni watakupa tabu sana
tena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini

Wakuu tuwe makini
 
Umenikosha kifuan japo ni saa7

wadada wa jf muige mfano jamani
 
Hahaha mama ametoka ofisin amekupa modem?
 
tena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini

Wakuu tuwe makini
looh mwana baba wewe tuschafuane anzisha mada yako
 
Back
Top Bottom