Samatime Magari
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 119
- 457
eneo sio issue popote tuiringa au¿¿
wengine wanaenda mbali wanaomba mpaka PESA aiseetena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini
Wakuu tuwe makini
Beware...Joined: Jul 8, 2017
Hiyo stage ya uvulana nishaivukaakuuuuuu ma kankataza kucheza na wavlana
kwenu piahahahahahahahaha sawa sawa ijumaa njema
Heheheh hapa wachache watakuelewa!tena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini
Wakuu tuwe makini
so¿¿Hiyo stage ya uvulana nishaivuka
ni nokia asha mchina orijinaliHuonekani vizuri sim yako ni itel 1543i au
kwasababu ni kilopolopoHeheheh hapa wachache watakuelewa!
nilikua bonge mnoo hadi cheni ya kiuno haipendeziUmekosa tu chura....
Umeanza lini uchokozi?Umekosa tu chura....
WIVUUUHuu uzi pamoja na reply za mleta uzi zinatia shaka kama avatar na jinsia zinashabihiana.....
Nahisi......
Mscheeewww.Duuu una lips nzuri dada...
Jf nzima hakuna
We huwa haumtukani Mr. Stone na serikali yake???wengi mnoo mmekua mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa jamii forum kwa kua naficha sura yangu sasa IPO hivii:
nime amua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
.mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
Nin sasaMscheeewww.